SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, May 23, 2011

JK AKIHANI MISIBA YA SHEIKH YAHYA NA MZEE ATHUMANI MWINYIMVUA JANA!!

Rais Kikwete akipokewa na Hassan Yahya Hussein, Mtoto mkubwa wa Marehemu Sheikh Yahya Hussein alipokwenda kuhani msiba wa mnajimu huyo maarufuf nyumbani kwa Marehemu Magomeni Mwembe chai jana.
 Rais Kikwete akihani msiba wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Marehemu Athumani Mwinyimvua mtaa Matombo Magomeni Mwembe Chai jana.
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa Marehemu Sheikh Yahya Hussein walipokwenda kuhani msiba wa mnajimu huyo mashuhuri Magomeni Mwembe Chai jana.
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Mwajuma Mwinjum mjane wa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM marehemu Athumani Hassan Mwinjuma.
Rais Kikwete akisalimiana na watoto baada ya kuhani msiba wa Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa CCM Marehemu Athumani Hassan Minyimvua mtaa wa Matombo Magomeni Mwembe Chai jana.
Rais Kikwete akisalimiana na watoto baada ya kuhani msiba wa Mwenyekiti wa wazee wa Dar es salaam Marehemu Athumani Hassan Mwinyimvua Mtaa wa Matombo Magomeni Mwembe Chai Jumapili jana. (Picha na Ankal Michuzi).

0 comments:

Post a Comment