SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 3, 2011

BONDIA MBWANA MATUMLA AMSAMBARATISHA MKENYA!!!

Bondia wa ngumi za kulipwa Mbwana Matumla akikabidhiwa mkanda wa ubingwa wa UBO.
Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Gabriel Ochueng wa Kenya wakati wa kugombania ubingwa wa UBO. Mbwana alishinda kwa pointi katika pambano hilo lililochezwa kwa raundi 12.
Damu nzito kuliko maji bondia mkongwe Rashidi Matumla (kulia) akimpatia maelezo mdogo wake Mbwana Matumla wakati wa pambano lake la kutetea Ubingwa wa UBO lililofanyika Dar es salaam.

0 comments:

Post a Comment