SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 7, 2011

WAKAZI WA DODOMA WATOA MAONI KUHUSU KATIBA MPYA LICHA YA VURUGU ZILIZOTOKEA!!

Wakazi wa Dodoma wakiwa wamejitokeza nje ya ukumbi wa bunge kutoa maoni yao juu ya mchakato wa kuanzishwa kwa mchakato wa utaratibu wa kuandika katiba mpya leo mjini Dodoma na kulazimisha kufungwa kwa muda barabara kuu ya Dodoma – Dar es salaam inayopakana na ukumbi huo.

Pichani Juu na Chini Nje ya eneo la geti la ukumbi wa bunge wananchi wakisubiri kuingia ndani ya ukumbi wa Pius Msekwa ambako ndiko shughuli za ukusanyaji wa maoni ya mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kuandika katiba mpya ulikuwa ulikuwa ukiendelea leo mjini Dodoma.

BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment