SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, April 23, 2011

WADAU KILA LA HERI EASTER NJEMA MOLA AWABARIKI!!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Leo ni siku ya PASAKA(EASTER) ambapo waumini wote wa madhehebu ya Kikristu Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla wanaungana na wenzao kote Duniani kusherekea siku ya PASAKA(EASTER) takriban miaka zaidi ya elfu mbili iliyopita.
Blog hii inaungana na waumini wote popote pale Duniani kuwatakia maadhimisho mema ya EASTER yenye Furaha,Amani na Upendo na Mwenyezi Mungu awabariki,Amen.

Link
******Happy Easter******

0 comments:

Post a Comment