Salaam,
URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha za ziara ya Mhe.Balozi Peter Kallaghe iliyofanyika mjiini Reading week-iend iliyopita. Mhe.Balozi alipata fursa ya kuonana uongozi na timu ya watoto ya mpira wa miguu inayoitwa RECO ambayo ni academy inayosaidia kukuza vipaji vya watoto wa Kitanzania hapa Reading na baade kuwapeleka kwenye academy kubwa kama Reading Madejeski n.k

Mhe. Balozi akienda kukagua Timu Ya Reco.
Mhe. Balozi akiongea na mmoja wa waanzilishi wa timu ya Reco.
Mhe. Balozi akiwasilimia Timu ya Reco.
Mhe. Balozi akipata maelezo kutoka kwa kocha ya timu Ya Reco.
Striker akijiaanda kuanziasha gemu.
Gemu ishaanza.
.
Mhe. Balozi akiwasilimia Timu ya Reco.
Mhe. Balozi Kallaghe Akiwa amembeba beki anaekuja juu wa Reco team.
Mhe. Balozi akiwa na Frank.
Mhe. Balozi akiwa na Timu ya watoto Reco mjini Reading pamoja Viongozi wa TA na Urban Pulse.
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE.
0 comments:
Post a Comment