SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 11, 2011

MJUE HENRY ALFRED AMEDE

Henry akiwa katika moja ya mazoezi yake huko Urusi.
Henry Alfred Amede ni jina geni miongoni mwa mashabiki wa soka nchini Tanzania hasa wanaofuatilia Ligi Kuu Tanzania Bara lakini si geni kwa waliokuwa wanafuatilia maandalizi ya timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 23 (U-23) Manyara Stars dhidi ya Cameroun ambapo timu hiyo ya vijana iliweka kambi katika Hoteli ya Bamba Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.

Henry wa kwanza kulia akiwa na kikosi cha Under 23 na kushoto kocha Julio.

HABARI ZAIDI: BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment