Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA) mama Salma Kikwete akipokewa na viongozi mkoa wa Lindi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mkoani Lindi leo. Mama Salma Kikwete yuko mkoani humo kushiriki na kuhimiza shughuli za maendeleo ya wananchi.(Picha na Aron Msigwa – MAELEZO).
Thursday, April 14, 2011
MAMA SALMA KIKWETE AWASILI MKOANI LINDI KUHIMIZA SHUGHULI ZA MAENDELEO
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, April 14, 2011
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
0 comments:
Post a Comment