SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, November 17, 2010

RAIS JK, DR. BILAL WATOA MKONO WA EID!
Rais Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Eid El Hajji waumini wenzake baada ya sala ya Eid katika msikiti wa Gaddaffi uliopo mjini Dodoma leo asubuhi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. AlHaj. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na kumtakia Eid El Hajj njema Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Ismail Habibu Makusanya, baada ya kumalizika kwa Baraza la Eid El Hajj kitaifa lililofanyika leo asubuhi katika msikiti wa simba mbali Tandika Wilaya ya Temeke Dar es salaam.
PICHA: HISANI YA IKULU

0 comments:

Post a Comment