SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, November 12, 2010

ANNA MAKINDA NDIYE SPIKA WA BUNGE
Bi. Anna Makinda.
Bi. Anna Makinda ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Njombe Kusini kupitia CCM, Anna Makinda ndiye aliyeibuka kidedea katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zoezi lililofanyika bungeni mjini Dodoma leo hii. Makinda amemshinda mpinzani wake, Mabere Marando kwa kujizolea jumla ya kura 265 wakati Marando akiambulia kura 53 kati ya kura zote zilizopigwa na Wabunge. Zoezi linaloendelea sasa ni kumwapisha Spika huyo mpya.
MAJINA YA WAH. WABUNGE WA KUCHAGULIWA BOFYA HAPA

0 comments:

Post a Comment