JK
apiga kura Kizota leo
Mwenyekiti
wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Amani Abeid
Karume wakitoka nje wa ukumbi wa mkutano wa Kizota wakati wa mapumziko
mafupi ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa.
Mwenyekiti
wa CCM ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura ya kumthibitisha kuwa
mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano
mkuu unaofanyika katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma leo asubuhi.
Mjumbe
wa Mkutano Mkuu wa CCM Bi.Ashura Abeid Faraji kutoka Zanzibar
akimsalimia mwenyekiti wa CCM , Rais Jakaya Mrisho Kikwete nje ya ukumbi
wa mikutano wa Kizota wakati wa mkutano mkuu wa CCM unaofanyika mjini
Dodoma.
Wahudumu
wakibeba visanduku vya kura tayari kwenda kuhesabiwa baada ya wajumbe
wa mkutano mkuu wa CCM kupiga kura leo mchana
(picha na Freddy Maro)




0 comments:
Post a Comment