SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, May 8, 2010

USHAWAHI KUONA FARASI WA NAMNA HII, BADO!!

 WE KILA KITU BADO EEEEH!!
Kama ulikuwa hujui hii ni kwa taarifa yako tu chukua na usimwambie mtu, Farasi na namna ya kipekee  aonekana katika jiji la Washigton Marekani akitumiwa kuwaburudisha  familia na watoto zao wanaokwenda "Kula Bata" maana nyingine "Kufurahika" Wikendi katika Hifadhi moja maarufu sana Jijini hapo.Na ana uwezo wa kubeba watu 10 na kupiga mzigo siku nzima non stop,Kabla ya kupiga mzigo anakula majani tani 100 na maji lita 5000 upo hapo.Mmiliki wa Farasi huyo ametujuza "24 seven 365" asubuhi hii ya leo.

0 comments:

Post a Comment