SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, May 8, 2010

TABU YA USAFIRI

Tabu ya usafiri jijini Dar es salaam

Baadhi ya wanafunzi wa shule za jijini wakiwa wamepanda katika gari dogo aina ya pick-up eneo la Mwenge Barabara ya Bagamoya jana. Hata hivyo wanafunzi wengine walikuwa wakining’inia katika gari hilo bila kujali usalama wa maisha yao. (Picha na Peter Twite)

0 comments:

Post a Comment