SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, May 6, 2010

Dar-es-salaam

Rais Kikwete akutana na viongozi wa Afrika waliohudhuria Mkutano wa Kiuchumi wa Dunia Dar-es-salaam.


Rais Jakaya Kikwete akiwakaribisha Ikulu Dar-es-salaam Rais Jackob Zuma wa Afrika Kusini.Rais Zuma yupo nchni akihudhuria mkutano wa  Kiuchumi wa Dunia unaofanyika mlimani City jijini Dar es Salaam.
President Jakaya Kikwete katika mazungumzo na Rais Armando wa Msumbiji  Dar-es-salaam Ikulu asubuhi  ya leo.Raist Geubuza yupo nchini kuhudhuria mkutano wa Kiuchumi wa Uchumi.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu Dar-es-salaam Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe. Rais Mugabe yupo nchni akihudhuria mkutano wa  Kiuchumi wa Dunia unaofanyika mlimani City jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment