SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, April 30, 2010

Bongo tambarare, hasa wakati wa mvua...

ngoma imedata katikati ya barabara sehemu za mikocheni TMJ jijini dar
kila juhudi za kuiwasha inashindikana

ah... isiwe taabu.
haya ndo mambo mvua inaponyesha jijini dar ambako sio tu mitaro ya maji haitoshi, bali pia aidha imeziba kwa kutosafishwa mara kwa mara ama kuzibwa na ujenzi holela. hapo hatujazungumzia haja ya kuboresha miundombinu kwa kadri ya jiji linavyopanuka..

0 comments:

Post a Comment