SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Ziara ya Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi na Wake wa Wawakilishi na Wabunge Pemba.. Show all posts
Showing posts with label Ziara ya Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi na Wake wa Wawakilishi na Wabunge Pemba.. Show all posts

Saturday, May 4, 2013

Ziara ya Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi na Wake wa Wawakilishi na Wabunge Pemba.

 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akisalimiana na Wanavikundi vya Ushirika wa Wanaweke Mkoani Pemba akiongoza ziara ya Wake wa Wawakilishi na Wbunge kutembelea Vikundi vya Wanawake na kutowa misaada katika vikundi hivyo.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akimkabidhi mmoja wa Wanavikundi vya Ushirika vya Mkoani fedha taslim Shilingi laki nne, kwa ajili ya kuendelea vikundi hivyo vya Kinamama,Fedha hizo zimetolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi Seif na Wake  wa Wawakilishi na Wabunge wa CCM, jumla ya Vikundi  Sita vimefaidika na msaada huo katika  Wilaya ya Mkoani Pemba.