Mkuu wa Vodacom Foundation Bw. Yessaya Mwakifulefule akimtiwsha Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Mkunguni B, kata ya Hananasifu Bw. Andrew Mkude kiloba cha sukari. Vodacom ilikabidhi mchele, sukari, unga wa sembe, mikate na maji ya kunywa kwa waathirika wa maafa ya Dar es salaam wanaojihifadhi katika kambi ya Hananasifu juzi.
Showing posts with label Vodacom Tanzania Yagawa Msaada Wa Awamu ya Pili(Chakula)Kwa Waathirika wa Mafiriko Jijini Dar es Salaam. Show all posts
Showing posts with label Vodacom Tanzania Yagawa Msaada Wa Awamu ya Pili(Chakula)Kwa Waathirika wa Mafiriko Jijini Dar es Salaam. Show all posts