SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label TIMU ZINAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STARS ZAWASILI NCHINI NIGERIA‏. Show all posts
Showing posts with label TIMU ZINAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STARS ZAWASILI NCHINI NIGERIA‏. Show all posts

Tuesday, September 17, 2013

TIMU ZINAZOSHIRIKI MICHUANO YA VIJANA YA AIRTEL RISING STARS ZAWASILI NCHINI NIGERIA‏

Kikosi cha timu ya Airtel Rising Stars kutoka Tanzania wakati wa ufunguzi wa michuano ya Airtel Rising Stars ya Afrika iliyozinduliwa rasmi jana (Jumatatu) nchini Nigeria na kushirikisha timu kutoka katika nchi 17 barani Afrika.
Kikosi cha timu ya wavulana kinachoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Nigeria kwenye michuano ya Afrika inayoshirikisha timu kutoka nchi 17 barani Afrika. Wa kwanza kulia ni mwakilishi wa Airtel, Bi. Lilian Kibiriti.
Kikosi cha timu ya wasichana kinachoshiriki michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Nigeria kwenye michuano ya Afrika inayoshirikisha timu kutoka nchi 17 barani Afrika. Mwenye suti ni kocha wa timu hiyo, Rogacian Kaijage.