SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label SOMA TANGAZO LA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA. Show all posts
Showing posts with label SOMA TANGAZO LA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA. Show all posts

Thursday, March 20, 2014

SOMA TANGAZO LA KAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
 TUME YA UUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.