SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO-MSATA. Show all posts
Showing posts with label RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO-MSATA. Show all posts

Wednesday, September 19, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA BAGAMOYO-MSATA


Rais Dk. Jakaya Kikwete (katikati) akiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Msata uliofanyika katika kijiji cha Kiwangwa wilayani Bagamoyo jana mchana. Wengine katika picha kutoka (kushoto) ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmed Kipozi, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Pwani ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik (wa pili kushoto), Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli (wa nne kushoto) na kulia ni Waziri wa Mazingira Mh Terezya Huviza.