SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Mzee Arnold Nkhoma atoa shukrani kwa kutimiza miaka 100. Show all posts
Showing posts with label Mzee Arnold Nkhoma atoa shukrani kwa kutimiza miaka 100. Show all posts

Wednesday, January 15, 2014

Mzee Arnold Nkhoma atoa shukrani kwa kutimiza miaka 100

DSC_0019
Birthday Boy...Mzee Arnold Nkhoma akiwasili kwenye Kanisa la Mtakatifu Andrew lililopo Magomeni jijini Dar kuhudhuria Ibada ya kutoa shukrani kwa kutimiza miaka 100 akiwa amesindikizwa na mmoja wa watoto wake wa kiume pamoja na mjukuu wake Sawiche Wamunza (kushoto).