-Wanaharakati nao wawasha moto Dar es Salaam -Muswada ukisomwa kwa mara ya pili kuandamana -Wasema hakuna yeyote atakayeweza kuyazima
Mkutano wa Tano wa Bunge unaendelea leo huku mjadala mkali ukitarajiwa kuibuka hasa wakati wa kuchangia Muswada wa Katiba.