SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO KUTOKA KITUO CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA UONGOZI (CELD). Show all posts
Showing posts with label MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO KUTOKA KITUO CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA UONGOZI (CELD). Show all posts

Thursday, December 19, 2013

MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO KUTOKA KITUO CHA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA UONGOZI (CELD)

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake  na Maendeleo, WAMA, Mheshimiwa Mama Salma Kikwete akipokea tuzo ya Uongozi Uliotukuka kimataifa (Global Inspirational Leadership Award 2013) kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Maendeleo ya  Kiuchumi na Uongozi Mheshimiwa Bibi Furo Giami, mwishoni mwa mkutano wa siku tatu wa Wanawake kutoka Afrika, Mashariki ya Kati na Asia.  Mkutano huo ulioandaliwa na Kituo cha Maendeleo ya Kiuchumi na Uongozi  (CELD), wakishirikiana na CEO Clubs Network na African Leadership Magazine uliofanyika katika hoteli ya Atlantis The Palm, huko Dubai , Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE.) Tuzo hiyo imetolewa tarehe 18.12.2013.