SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 10 YA TAASISI YA MAZNAT NA KUZINDUA SHULE YA UREMBO YA TAASISI HIYO. Show all posts
Showing posts with label MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 10 YA TAASISI YA MAZNAT NA KUZINDUA SHULE YA UREMBO YA TAASISI HIYO. Show all posts

Tuesday, May 7, 2013

MAMA ASHA BILAL AADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 10 YA TAASISI YA MAZNAT NA KUZINDUA SHULE YA UREMBO YA TAASISI HIYO

 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa VIP wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam jana jioni kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Taasisi ya Maznat, kama Mgeni rasmi sambamba ya kuzindua Shule ya Taasisi hiyo inayofundisha masuala ya urembo.
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akishiriki kukata Keki na Maza Sinare, ambaye ni mmiliki wa Saluni ya Maznat, ikiwa ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 10 ya Taasisi ya Maznat, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond jijini Dar es Salaam, jana Mei 5, 2013, sambamba na sherehe hizo pia Mama Asha, alizindua rasmi shule ya masuala ya Urembo inayosimamiwa na Taasisi hiyo.