SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AZINDUA MPANGO WA TAIFA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI.. Show all posts
Showing posts with label MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AZINDUA MPANGO WA TAIFA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI.. Show all posts

Thursday, December 12, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT.GHARIB BILAL AZINDUA MPANGO WA TAIFA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI.


 Gavana wa  Benki Kuu ya Tanzania (BoT) , Prof. Benno Ndulu, akisaini mfano wa cheti cha Mpango wa Taifa wa Huduma za Fedha wenye lengo la kusimamia  na kutafuta  ufumbuzi wa changamoto zinazozorotesha huduma za fedha nchini. Wanaoshuhudia nyuma (katikati) ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kulia kwake ni Malkia Maxima wa Uholanzi (kushoto) ni Naibu Waziri wa Fedha Sada Mkuya Salumu. Hafla hiyo imefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania, jijini Dar es Salaam.