SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAJAMBAZI WANASWA WAKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU. Show all posts
Showing posts with label MAJAMBAZI WANASWA WAKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU. Show all posts

Wednesday, March 12, 2014

MAJAMBAZI WANASWA WAKIJIANDAA KUFANYA UHALIFU


MAJAMBAZI wawili waliokuwa kwenye pikipiki yenye namba za usajili T 225 CQC aina ya Kapor wamekamatwa wakiwa na silaha wakijiandaa kufanya uhalifu katika kituo cha kuuza mafuta cha Oilcom kilichopo Kongowe-Mbagala, jijini Dar!
Majambazi hayo yametiwa mbaroni na askari polisi zaidi ya kumi waliokuwa wamevalia nguo za kiraia wakiwa na magari aina ya Land Cruiser yenye namba za usajili T 148 AEN na T 848 AGF!  
CHANZO GLOBAL PUBLISHER
HABARI KAMILI ITAWAJIA BAADAE