SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA LUTHER BAGAMOYO YAFANA. Show all posts
Showing posts with label MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA LUTHER BAGAMOYO YAFANA. Show all posts

Monday, October 7, 2013

MAHAFALI YA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA LUTHER BAGAMOYO YAFANA

Baadhi ya wanafunzi kati ya 45 wanaosoma kidato cha Nne katika shule ya sekondari ya wasichana ya Luther iliyopo Mapinga Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakimkabidhi zawadi ya kumshukuru mwalimu wao Mkuu Mtanga Gerson wakati wa Mahafali yao ya kwanza ya Kidato cha Nne tangu kuanzishwa kwa shule hiyo mwaka 2010. Jumla ya wanafunzi 45 wanategemea kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha Nne hivi karibuni.Wapili kutoka kushoto ni Mkurugenzi Rasmali Watu Mary Ngonyani,ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo na Mkurugenzi wa shule hiyo Aumsuri Kiwelu.