Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya”Timka na Boda Boda”Bw.Dominick Leonard,mkazi wa jijini Dare s Salaam akionesha funguo wake wa pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia) Jumla ya washindi(5)wamejishindia Pikipiki na wengine(2)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja katika droo ya leo.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anayeshuhudia kushoto ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.
Showing posts with label Kutoka Vodacom Tanzania:35 watimka na Boda Boda za Vodacom. Show all posts

Thursday, October 24, 2013
Kutoka Vodacom Tanzania:35 watimka na Boda Boda za Vodacom
Mshindi wa Pikipiki katika Promosheni ya”Timka na Boda Boda”Bw.Dominick Leonard,mkazi wa jijini Dare s Salaam akionesha funguo wake wa pikipiki mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu(kulia) Jumla ya washindi(5)wamejishindia Pikipiki na wengine(2)wamejinyakulia shilingi Milioni moja moja katika droo ya leo.Ili kujiunga na promosheni hii TUMA NENO PROMO kwenda 15544,anayeshuhudia kushoto ni Afisa huduma za ziada wa kampuni hiyo Rashid Maggid.
Posted by
Ally Shaaban Mgido's
at
Thursday, October 24, 2013
0
comments
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook