SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa. Show all posts
Showing posts with label Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa. Show all posts

Thursday, April 25, 2013

Mkutano Mkubwa wa Chadema Mkoani Mbeya,Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa iringa mjini ,Mchungaji Peter Msigwa,Mbunge wa Mwanza Mjini Ezekiel Wenje,Mbung wa jimbo la ilemela Highness Kiwia,Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu)Waung'uruma

  Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akisindikizwa na Maelfu ya wanachama wa chadema muda mfupi baada ya kuwasili mkoani mbeya kuhutubia kwenye mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe


Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) akihutubia maelfu ya wanachama wa chadema mkoani mbeya jana  katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe
 Mbunge wa Jimbo la Ilemela-Chadema Highness Kiwia akihutubia maelefu ya wanachama wa chadema mkoani mbeya jana katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akihutubia maelfu ya wanachama wa chadema kwenye mkutano wa hadhara Mkoani Mbeya Jana katika Uwanja wa Ruanda-Nzovwe katika mkutano huu uliudhuriwa na  Mbunge wa Iringa, Mchungaji Peter Msigwa (Iringa mjini), Ezekiel Wenje(Mwanza mjini) na Highness Kiwia wa Jimbo la Ilemela. 
Picha na Chadema

Wednesday, January 16, 2013

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Wilbrod Slaa,Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari,Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema Walivyoung'uruma Kwenye Mkutano Wa CHADEMA Njiro Moshi

 Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa. .
 Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi .
 Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara .
 Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.
 Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.
 Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akiwapongeza Vijana wa Sarakasi
 Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akicheza wakati wa mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa.