SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label KCB Tanzania yaisaida shule ya Mkudi vifaa vya Milioni 10. Show all posts
Showing posts with label KCB Tanzania yaisaida shule ya Mkudi vifaa vya Milioni 10. Show all posts

Monday, November 14, 2011

KCB Tanzania yaisaida shule ya Mkudi vifaa vya Milioni 10

Benki ya KCB Tanzania imetoa msaaada wa madawati 120, meza na viti vya walimu 20 vyenye thamani ya Shilingi Milioni 10/- katika shule ya msingi Mkudi iliyopo jijini Mwanza.