
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Bw. Charles Pallangyo
akizindua mpango mkakati wa pili wa bohari ya dawa MSD unao tarajiwa
kuanza julai 2014 hadi juni 2020 wenye lengo la kuongeza ubora
kiutendaji katika uzinduzi uliofanyika kwenye hoteli ya Hyyat Regency
jijini Dar es salaam jana.

Kamimu
Mkurugenzi wa Bohari kuu ya dawa (MSD) Bw. Cosmas Mwaifwani akizungumza
katika uzinduzi huo uliofanyika jana jijini Dar es salaam.



