SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label Blatter Aadai "Hakuna" Ubaguzi Uwanjani. Show all posts
Showing posts with label Blatter Aadai "Hakuna" Ubaguzi Uwanjani. Show all posts

Thursday, November 17, 2011

Blatter Aadai "Hakuna" Ubaguzi Uwanjani

Rais wa Fifa Sepp Blatter ajichanganya kuhusu ubaguzi
Mlinzi wa England na Manchester United Rio Ferdinand amesema ameshangazwa na madai ya Sepp Blatter kwamba hakuna tatizo la ubaguzi katika mchezo wa kandanda uwanjani.