SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label BALOZI WA TANZANIA NCHINI DRC ANTHONY CHECHE AONANA NA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUJADILI MAHUSIANO YA NCHI HIZO MBILI. Show all posts
Showing posts with label BALOZI WA TANZANIA NCHINI DRC ANTHONY CHECHE AONANA NA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUJADILI MAHUSIANO YA NCHI HIZO MBILI. Show all posts

Wednesday, October 30, 2013

BALOZI WA TANZANIA NCHINI DRC ANTHONY CHECHE AONANA NA UONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUJADILI MAHUSIANO YA NCHI HIZO MBILI

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akiongoza kikao kati ya balozi wa Tanzania nchini Congo DRC Balozi Anthony Cheche aliyefika ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha na kujadili mambo mbalimbali ya kimahusiano kati ya nchi hizo mbili. Mkuu huyo wa Mkoa alimuomba balozi Cheche kunadi fursa za uwekezaji zinazopatikana Mkoani Rukwa pamoja na kuunganisha nguvu ya nchi hizi mbili katika kuwekeza kwenye usafiri wa majini katika Ziwa Tanganyika. Akizungumzia kuhusu wahamiaji haramu amesema ni bora kujenga ushirikiano mzuri wa kibiashara kwa nchi zote mbili ambapo taratibu maalum zitafuatwa kwa wananchi na wafanyabiashara kuingia na kutoka.