SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.
Showing posts with label 000 Waliovamia Kijiji Cha Kinyinya wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wakiendelea na Kazi ya Uchimbaji na Utafutaji Madini.. Show all posts
Showing posts with label 000 Waliovamia Kijiji Cha Kinyinya wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wakiendelea na Kazi ya Uchimbaji na Utafutaji Madini.. Show all posts

Wednesday, April 4, 2012

Baadhi ya Wachimbaji Wadogo Zaidi ya 1,000 Waliovamia Kijiji Cha Kinyinya wilayani Kibondo Mkoani Kigoma Wakiendelea na Kazi ya Uchimbaji na Utafutaji Madini.

Baadhi ya wachimbaji wadogo zaidi ya 1,000 waliovamia kijiji cha Kinyinya wilayani Kibondo mkoani Kigoma wakiendelea na kazi ya uchimbaji na utafutaji madini. Machimbo hayo mapya yaligunduliwa mwezi uliopita katika eneo ambalo lilitengwa kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari na soko kijijini hapo.Picha na Fadhili Abdallah.