
Muigizaji Nyota
wa Kenya Derek Amuga, ambaye alikuwa ametoweka tangu Julai 25,
imethibitishwa kuwa amekufa.
Amuga alipata
umaarufu katika miaka ya 90, akiigiza kama mtoto wa mitaani kwenye
mchezo wa Tausi, akijulikana kama Master Sugu.
Tangu wakati wa
igizo hilo Amunga, hakuwa anaigiza kwenye majukwa wala katika michezo
ya runinga.
Taarifa za
kutoweka kwake zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii tangu
wiki iliyopita.
RWEYUNGA BLOG
RWEYUNGA BLOG




0 comments:
Post a Comment