
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya
Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa
mazungumzo. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne,
ambapo pia atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo
ya Taasisi hiyo, ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo
Kikuu cha Agakhan ‘New Compass of Agakhan Univercity’ kinachojengwa
jijini Arusha. Picha na OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani,
His Higness Prince Karim Agakhan, wakati alipowasili Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Agosti 3, 2014 kwa mazungumzo. Kulia ni Mbunge Tabora Kaskazini, Shafin
Sumari. Mtukufu Agakhan yupo nchini kwa ziara binafsi ya siku nne, ambapo pia
atatumia fursa hiyo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo ya Taasisi hiyo,
ikiwa ni pamoja na kukagua mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Agakhan ‘New Compass
of Agakhan Univercity’ kinachojengwa jijini Arusha.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga
picha ya kumbukumbu na mgeni wake Mwanzilishi na Mwenyekiti wa
Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsindikiza
mgeni wake Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani,
His Higness Prince Karim Agakhan, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana
na mgeni wake Mwanzilishi na Mwenyekiti wa
Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipiga
picha ya pamoja ya kumbukumbu na mgeni wake Mwanzilishi na Mwenyekiti wa
Taasisi ya Maendeleo ya Agakhan Duniani, His Higness Prince Karim Agakhan, na
ujumbe wake baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo.




0 comments:
Post a Comment