Naibu
Waziriwa Viwanda na Biashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati
mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa
Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai 23,
2014
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini
Dar es Salaam. Kushoto Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.
Angellah Kairuki (katikati) akichangia
hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji
wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyikaleoJumatanoJulai 23,
2014
katikaukumbiwaMwalimuNyerereJijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe (kulia) akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji
wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Julai 23,
2014
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini
Dar es Salaam. Kutoka (kushoto) ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya
Ufundi, Mhe. Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe.
Mwigulu Nchemba, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,
Eliakim Maswi.
PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO




0 comments:
Post a Comment