SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, May 27, 2014

DAR MPO TAYARI...KWA TMT?

Baada ya Kuzunguka kanda tano za Tanzania Sasa ni Zamu ya Kanda ya Pwani inayohusisha Mikoa ya Dar Es Salaam, Mkoa wa Pwani na Morogoro.

Shindano la Tanzania Movie Talents litaanza Rasmi Siku ya Ijumaa tarehe 30 Mei 2014 katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini DAr Es Salaam karibia na Chuo Cha IFM.Zoezi la Kuchukua Fomu litaanza kesho kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar.

Na Fomu zetu ni bure kabisa wala haziuzwi