SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, April 9, 2014

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA BERNARD MEMBE NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JOB NGUGAI WAONGELEA SWALA LA RAIA PACHA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI


 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo hayo.


Mhe. Bernard Membe akiongelea swala la Raia pacha kulia ni naibu spika Job Ndungai akifuatilia mazangumuzo hayo.

Kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Rasi Idd Sandaly na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakifuatilia mazaungumuzo