SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 17, 2014

WAFANYABIASHARA WAANZA KUVAMIA ENEO LA BARABARA ZA MABASI YAENDAYO KASI MAPEMAAA

 Wafanyabiashara wadogo wakiwa tayari wameanza kuvamia maeneo ya barabara za mabasi yaendayo kasi zinazoendelea kujengwa jijini Dar es Salaam, eneo la Kivukoni mbele ya Mahaka Kuu kama walivyo naswa na kamera ya Sufianimafoto nyakati za jioni jana.
Taratiiiibu mara watajazana eneo hilli na watakapoanza kuondolewa wataona kama wanaonewa baada ya kuzoea na kupata pesa katika eneo hili.
SUFIANIMAFOTO