SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Monday, April 14, 2014

JK ATEMBELEA MAENEO YALIYOKUMBWA NA MAFURIKO MKOA WA PWANI

  Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi aliyemfuata na kumsalimia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya abiria waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya na mafuriko.Pichani Rais akisalimiana na kuzungumza na wanafunzi na mtoto aliyemfuata na kumsalimia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga. Picha na Freddy Maro-IKULU