SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, April 10, 2014

BIMA YA WESTADI


Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza ukishirikiana na Urban Pulse Creative Media wanakuletea ziara ya Raisi Jakaya Kikwete London Tarehe 30.4.14 kukutana na watanzania waishio uingereza. Kabla ya kuwasili kwake mh Rais shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha bima ya ''WESTADI'' kwa watanzania wote waishio Ughaibuni ili kuwawezesha kupata unafuu wa kusafirisha mwili au mazishi pale popote alipo mara anapofariki ughaibuni. Pia Bima hio kusaidia matibabu kwa ndugu na jamaa kadhaa nyumbani.