Mjumbe wa Bunge Maalum Mwigulu Mchemba akichangia Bungeni mjini Dodoma Machi 27, 2014. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mjumbe wa Bunge Maalaum Moses Machari akichangia Bungeni.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Jusa akilalamika Bungeni.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Halima Mdee akilalamika Bungeni Mjini Dodoma Machi 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



