SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, February 14, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO NA MIKOANI KUHUSU MGOGORO WA MATUMIZI YA MASHINE ZA TRA,AKUTANA PIA NA WAKUU WA KAMPUNI YA CHINA YA AVIC GROUP CHINA CIVIL AVIATION

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na viongozi wa  Jumuiya  za Wafanyabiashara wa kati wa Kariakooo na Mikoani kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Feb 12, 2014- usiku.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Adam Malima.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na viongozi wa  wa Kampuni ya China ya  AVIC Group China  Civil Aviation inayopkusudia kuwekeza katika kampuni ya  Ndege ya ATCL, Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Februari 13, 2013.
Baadhi ya viongozi wa Jumuiya za wafanyabiashara wa kati wa Kariakoo na Mkoani  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza nao kuhusu mgogoro wa matumizi  ya mashine  za TRA, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 12, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment