SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Thursday, February 6, 2014

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu picha ya moja ya viatu vilivyokuwa na dawa za kulevya vilivyokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Charles Tizeba akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu picha ya moja ya viatu vilivyokuwa na dawa za kulevya vilivyokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam, jana. Viatu hivyo vilikuwa vikisafirishwa kwenda Liberia. Picha na Venence Nestory  

0 comments:

Post a Comment