SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Wednesday, February 19, 2014

Bunge maalumu la katiba laanza rasmi vikao vyake Dodoma.


Bunge maalum la katiba limemchagua Mh. Pandu Ameir Kificho kuwa mwenyekiti wa muda wa bunge hilo huku baadhi ya wajumbe wakilalamikia kitendo walichokiita ujanja wa serikali wa kuchelewesha kwa makusudi nakala za kanuni za kuendesha bunge la katiba kwa madai ya kuwanyima fursa wajumbe hao kuzipitia kikamilifu ili kuepusha malalamiko na hatimae kupata katiba iliyo bora kwa manufaa ya Watanzania

 SPIKA WA BUNGE LA ZANZIBAR AMIR KIFICHO NDIYE MWENYEKITI WA MUDA BUNGE LA KATIBA
Spika wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliowa kwa kura zaidi ya 300 kushika nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Jana jioni

0 comments:

Post a Comment