Katibu
wa community ya Watanzania New York bwana Mhella akitoa hotuba fupi ya
kuwatambulisha viongozi na kuwakaribisha ukumbini hapo.
Mh. Balozi Tuvako Manongi akiongea historia fupi ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sherehe hio
Aunt
Ashura Dualle nae akitoa hotuba fupi juu ya Mapinduzi ya Zanzibar. Aunt
Ashura anakumbukumbu sahii ya Sherehe hizo kwa sababu alikuwa mke wa
marehemu mwanamapinduzi hayo Abdulhaman Babu.
Mwenyekiti wa community ya
Watanzania New York bwana Hajji Khamis akimtambulisha kiongozi wa
Zanzibar Diaspora kabla ya Mh. Balozi kuongea.

Kiongozi wa Zanzibar Diaspora kutoka, PA akiongea ukumbuni hapo

Naibu katibu wa Community Mariam Abu akiongea
Wageni waalik
Bwana Amani Kitali akizungumzia mambo ya maendeleo yanayotakiwa kufanywa na Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nchi za nje.
Bwana Amani Kitali akizungumzia mambo ya maendeleo yanayotakiwa kufanywa na Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nchi za nje.
Chini na juu mshereheshaji wa sherehe hizo Gaston akifanya vitu vyake
Msami akitoa burudani iliyowaacha wa mbavu zimetanuka kwa kicheko.
< style="color: white;">Jessica
kushoto ndiyo aliefanikisha mavazi haya ya Kinzanzibar, pongezi kwa
Jessica kwa kazi mzuri pamoja na dada Asia Mwilima kwa kuweza kutoa
ufafanuzi wa mavazi hayo. Kwa




0 comments:
Post a Comment