Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon enzi za uhai wake.
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ariel Sharon amefariki dunia leo Januari 11, 2014.
Sharon, aliyekuwa Waziri Mkuu wa 11 wa taifa hilo la kiyahudi, alikuwa kiongozi wa chama cha Likud, lakini katika mzozo mkubwa ndani ya chama hicho kufuatia tofauti za kimtizamo kuhusu ukanda wa Gaza, alijitoa Novemba 2005 na kuanzisha chama chake cha Kadima akiwa bado madarakani.

Alitegemewa
kushinda katika uchaguzi uliotarajiwa kufanyika baadaye, lakini ghafla
Januari 4 mwaka 2006 alipata ugonjwa wa kupooza mwili mzima na alibakia
katika hali hiyo mbaya kwa muda wa miaka nane hadi alipofariki leo.
NA BBC SWAHILI
NA BBC SWAHILI
0 comments:
Post a Comment