SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Friday, December 13, 2013

Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro Ala Kiapo Rasmi Bungeni Mjini Dodoma

 Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Desemba 12, 2013
 Mbune wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.

Picha Kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu

0 comments:

Post a Comment