SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Tuesday, December 17, 2013

MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU CHA SAYANZI NA TEKNOLOJIA MBEYA YAFANA

Lango kuu la chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipata maelezo mafup toka kwa Mhadhiri msaidizi Phesto Namanyala  jinsi kitengo cha Computer Engineering kinavyofanya kazi ya kutoa elimu chuoni hapo

Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akiapatamaelezo toka kwa Samwel Kihogo wa kitengo cha maabara ya udongo na upimaji wa ardhi
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akipatiwa maelezo na mkuu wa kitengo cha umeme Joseph Matwani njinzi wanavyotoa mafunzo ya umeme chuoni hapoMgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa pia alitembelea banda la usanifu majengo hapa waziri akipata maelezo mafupi toka kwa Mhadhiri msaidizi Israel Mayall
Maandamano ya kuelekea ukumbini Ndani ya ukumbi wa NyerereMgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa KWA MAMLAKA NILIYOPEWA NATANGAZA KWAMBA MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOGIA MBEYA YAMEFUNGULIWA RASMIKaimu makamu mkuu wa chuo kikuu  cha Sayanzi na Teknologia Mbeya Joseph Msambichaka akisoma taarifa fupi ya chuo hichoMwenyekiti wa Baraza la chuo Prof Penina Mlamav  akimkaribisha mgeni RasmiNaibu kaimu makamu  mkuu wa chuo na taaluma Dkt MbondeMwakilishi wa wanafunzi Frank Mnyanyi akisoma risala kwa niaba ya wahitimu wenzakeBaadhi ya watumishi wa chuo hicho akipeana mikakati ya kufanikisha mahafali hiyo


Wageni waalikwa
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akimpa hongera mwanafunzi bora Lilian Kawala
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa ametoa zawadi kwa Lilian kawala  kwenda kusoma nje ya nchi kwa kuwa manafunzi bora wakike chuoni hapoLilian kawala akilia kwa furaha baada ya waziri kumptia zawdi hiyo
Mgeni Rasmi Waziri wa mawasiliano na Sayansi na Teknolojia Prof Makame Mbarawa akivunja rasmi mahafali ya chuo kikuu cha sayansi na Teknolojia Mbeya
Picha na Mbeya yetu

0 comments:

Post a Comment