SONYA_FLAWLESS_IMG
WE CREATE GREATNESS. | Professional Networker | Global Business Builder | Health And Wellness Coach | YOUR DREAM OUR PLAN.

Saturday, November 9, 2013

Mkutano wa 14 wa Mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira mijini jijini Arusha

 Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, mHE. Bashir Mrindoko akiwahutubia washiriki wa mkutano.
 Mzee Job Lusinde Malecela mwenyekiti wa mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Dodoma akichangia hoja katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa Bodi ya DAWASA, dKT. Hawa Sanare akijibu akichangia hoja katika mkutano
Mkurugenzi wa Rasilimali za maji Wizara ya Maji, Hamza Sadiki akitoa ufafanuzi juu ya vyanzo vya maji nchini.
;Picha ya pamoja Mwenyekiti wa Mkutano, Bashir Mrindoko akiwa na Wakurugenzi wa Mamlaka za maji nchini na wenyeviti wa mamlaka hizo.

0 comments:

Post a Comment